📌MWANDISHI WETU
Leo tarehe 4 Oktoba, 2023 UTPC imezindua ofisi zake Jijini Dodoma pamoja na Mpango Mkakati wake wa mwaka 2023-2025 ambapo Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Ms. Charlotta Ozak
Shughuli hiyo pia imeambatana na maonyesho ya gari maalumu linalotumia gesi lililotengenezwa na kampuni ya Scania pamoja na kueleeza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mika 60 ya ushirikiano baina ya Sweden na Tanzania tangu mwaka 1963-2023.
0 Comments