KAMATI ya kudumu ya Bunge ya hesabu za
Serikali za Mitaa (LAAC) imesema hakuna azimio la kamati hiyo lililotekelezwa
kwa ukamliifu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Mwenyekiti wa kamati hiyo Mbunge wa Viti maalum Halima Mdee ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa maagizo ya bunge yatokanayo na taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa ukaguzi wa Serikali za Mitaa.
0 Comments