WANACHAMA CPC WAPATA TUZO ZA UANDISHI MAHIRI

📌MWANDISHI WETU

WAANDISHI wa habari kutoka Dodoma na Wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Dodoma (CPC)  Nelly Mtema (Daily news) Anastazia Anyimike (Habari Leo) Happiness Mtweve (Uhuru) Kuringe Mongi (Channel Ten) Julius Okuly (Okuly Blog) na Mohammed Zengwa (Global TV) wamepewa tuzo za uandishi mahiri kupitia Wizara na taasisi za serikali. Hongereni sana 






Post a Comment

0 Comments