SERIKALI YAPUNGUZA TOZO YA MIAMALA YA SIMU KWA ASILIMIA 30

 




Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akipokea  marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya Kielektroniki za Kutuma na Kutoa Fedha kwa Mwaka 2021 kwa ajili ya kusaini kutoka kwa Afisa Sheria Mwandamizi wa Wizara hiyo, Bi. Mwantum Sultani, marekebisho hayo yamepunguza viwango vya tozo za miamala hiyo kwa asilimia 30, jijini Dodoma. 




Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisaini  marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya Kielektroniki za Kutuma na Kutoa Fedha kwa Mwaka 2021, marekebisho hayo yamepunguza viwango vya tozo za miamala hiyo kwa asilimia 30, jijini Dodoma. 








Post a Comment

0 Comments