📌MWANDISHI WETU
CPC ikiwakiwalishwa na baadhi ya Viongozi na Wanachama wake walishiriki kufuturisha watoto hao ambao wapo kwenye kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Wanachama wa CPC wakishirikina kushusha maji tayari kwa kujumuika katika futari |
Mwanachama wa CPC Saida Issa (Kulia) akisalimiana na mmoja wa wale katika kituo hicho.Katikati ni Mwandishi Zena Mohamed |
Wanachama wa CPC wakishiriki zoezi la kupakua futari |
Watoto katika kituo cha Swadiq Development Orphanage wakifuturu |
Wanachama wa CPC wakiwa na weenyeji wao ambao ni walezi wa watoto katika kituo |
Abubakar Famau (Kulia) akiongoza dua ya shukrani baada ya futari.Kushoto ni Ben Bago Katibu Mkuu wa CPC |
Wana CPC wakiwa na wenyeji wao |
Mratibu wa CPC Naomi Godwin (Wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watoto |
WanaCPC wakiwa katika picha ya pamoja na Watoto na Walezi wa
kituo cha Swadiq Development Orphanage
SOMA HII PIA👉👉👉WAZIRI UMMY ACHARUKA:WAKIKOSEA WASHTAKIWE KWENYE BARAZA, SIO KUWAHUKUMU KWA UTASHI WA KISIASA.
0 Comments