ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Singida Vijijini Lazaro Nyalandu ametangaza kurejea CCM. Nyalandu amesema hayo leo katika Mkutano Mkuu maalumu wa CCM jijini Dodoma.
Nyalandu alijitoa CCM Octoba mwaka 2017 na kuhamia chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na alitia nia kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia chama hiko na kuangushwa katika kura za maoni.ametangaza kurudi rasmi CCM.Nyalandu alihamia CHADEMA mwaka 2017
ANGALIA VIDEO👇👇👇
0 Comments