Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Maalim
Seif amekuwa nguzo muhimu ya ujenzi wa demokrasia ya vyama vingi katika taifa
la Tanzania na mtetezi mkubwa wa maslahi ya Zanzibar.
Zitto ameyasema hayo wakati akitoa taarifa ya msiba wa
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha ACT-Wazalendo kwa Umma wa Watanzania.
0 Comments