Jumla ya watoto 6 wamezaliwa katika hospitali ya Muhimbili-Upanga, kati ya hao 4 wakiume , 2 wa kike.
Watoto Wanne wamezaliwa kwa njia ya kawaida,huku wawili wakizaliwa kwa upasuaji.
Kulingana na afisa mahusiano wa hospitali hiyo afya za watoto hao pamoja na mama zao ni njema.
0 Comments