SABABU ZA ACT-WAZALENDO KUBADILI MSIMAMO.


Hatua hiyo imefanyika kama sehemu ya makubaliano ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambayo kwa mara ya kwanza ilianza kufanya kazi baada ya uchaguzi wa 2010.

Shughuli hiyo mbali na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali pia walikuwepo viongozi waandamizi wa ACT-Wazalendo akiwamo kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe, katibu mkuu, Ado Shaibu na naibu wake, Nassor Ahmed Mazrui pamoja na makamu mwenyekiti- Zanzibar , Juma Duni Haji

Post a Comment

0 Comments