WAGOMBEA WATAKIWA KUJIANDAA KISAIKOLOJIA




 ðŸ“ŒNA HAMIDA RAMADHANI

WAGOMBEA  wa Vyama vyote na wa ngazi zote hususan wa ngazi ya urais wametakiwa kujiandaa kisaikolojia katika kukubali matokeo ya ushindani ama kushindwa katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 Mwaka huu.


Akizungumza na waandishi wa Habari jijini hapa jana,Mwenyekiti  wa Baraza la Vyama vya siasa Nchi Johnson Shibuda alisema hiki ni kipindi cha kuelekea mwishoni mwa uchaguzi hivyo ni vyema wagombea wote wajiandae kisaikolojia katika kupokea matokeo huku akionyesha kumuunga mkono Rais John Magufuli Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.

"Wagombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo 15 na upande wa visiwani Zanzibar wapo 17 ,kwa hizi Kama timu za mpira ambapo Kama ni kuchagua Kaptein kwa kiti urais wa Jamhuri ya Muungano binge kuwa Mimi ni dhamira binge chakula Dkt,John Magufuli." Amesema Shibuda

Lazima wagombea wote wajiandae kisaikolojia kupokea tamu a uchungu ya matokeo ya uchaguzi.

Shibuda

Amewataka wagombea wote wajitokeze sawa kwa kuwa na uimara kwa maamuzi ya kupatikana uongozi bora wa kuendeleza ustawi na maendeleo ya Jamii na Taifa kwa ujumla.

Amewataka wagombea wote kukumbuka use I use ago asiyekubalikushindwa siyo mashindani pia asiyekubalikushindwa subra za kuongozwa na mwenzake hana Sifa za kujitoa kiongozi wa Jamii.

Aidha amewataka waache kuwataka waache kufarakana kwa sababu yoyote ile badala yake waangalie maslahi mapana ya Nchi hasa katika kudumisha amani.


"Kwa hiyo sasa wanasiasa wote na Mashariki wote wa vyama vya siasa hasa ambao hawatapata ushindi kwa wagombea wao kumbekeni kwamba kuvunjika kwa je be siyo mwisho wa uhunzi,kwa hiyo sasa Kama Simba na yanga huleta mikono baada ya kutofautiana katika kushindania ubingwa  wa Taifa vivyo hivyo ana siasa nawasubiri tupongezane kwa kutaka ana Heri kwa matokeo machungu ya utashi wa umma yatakayotolewa na Tume ya Taifa ya Ucgauzi (NEC).amesisitiza Shibuda

 

Post a Comment

0 Comments